Ufafanuzi wa msutaji katika Kiswahili

msutaji

nominoPlural wasutaji

  • 1

    mtu anayemkosoa mwingine ana kwa ana kwa uongo aliousema.

    msudukishi

Matamshi

msutaji

/msutaʄi/