Ufafanuzi wa mswele katika Kiswahili

mswele

nomino

  • 1

    kaa mdogo wa baharini mwenye rangi ya manjano isiyokoza.

Matamshi

mswele

/mswɛlɛ/