Ufafanuzi wa mtadaruki katika Kiswahili

mtadaruki

nominoPlural watadaruki

  • 1

    mtu anayependa kujipa madaraka ya kushughulika na mambo yasiyomhusu.

Matamshi

mtadaruki

/mtadaruki/