Ufafanuzi wa mtafiti katika Kiswahili

mtafiti

nominoPlural watafiti

  • 1

    mchunguzi wa kitaalamu atafutaye ukweli wa jambo fulani baada ya kuchanganua data.

    mdadisi

Asili

Kar

Matamshi

mtafiti

/mtafiti/