Ufafanuzi wa mtahiniwa katika Kiswahili

mtahiniwa

nomino

  • 1

    mtu anayepimwa uwezo wake kwa mtihani.

Asili

Kar

Matamshi

mtahiniwa

/mtahiniwa/