Ufafanuzi wa mtambaapanya katika Kiswahili

mtambaapanya

nomino

  • 1

    boriti nyembamba inayokingama paa.

    ndakaka, uati

Matamshi

mtambaapanya

/mtamba:paɲa/