nominoPlural mitambo
- 1
kifaa kinachotoa nguvu kuendeshea vitu mbalimbali.
mashine - 2
kitanda cha kufumia nguo; mashine.
nominoPlural mitambo
Kibaharia- 1
Kibaharia
kamba za kuvutia wavu au juya ambazo hutengenezwa kwa chane za miyaa.ngwe
nominoPlural mitambo
- 1
sehemu tambarare iliyoko baina ya mito miwili.