Ufafanuzi wa mtambuu katika Kiswahili

mtambuu

nominoPlural mitambuu

  • 1

    mmea wenye majani mapana ambayo hutafunwa pamoja na chokaa, katu na popoo kama uraibu.

Matamshi

mtambuu

/mtambu:/