Ufafanuzi msingi wa mtapo katika Kiswahili

: mtapo1mtapo2mtapo3

mtapo1

nominoPlural mitapo

  • 1

    mmea unaozaa tapo ambayo hupikwa na kuliwa au unga wake hupikwa uji.

Matamshi

mtapo

/mtapɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtapo katika Kiswahili

: mtapo1mtapo2mtapo3

mtapo2

nominoPlural mitapo

  • 1

    utetemekaji wa mwili kwa sababu ya ugonjwa, hofu au baridi.

Matamshi

mtapo

/mtapɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtapo katika Kiswahili

: mtapo1mtapo2mtapo3

mtapo3

nominoPlural mitapo

  • 1

    jiwe lenye madini ndani.

Matamshi

mtapo

/mtapɔ/