Ufafanuzi wa mtazamo katika Kiswahili

mtazamo

nomino

  • 1

    namna ya kuangalia au kutazama kitu au mtu.

  • 2

    jinsi mtu anavyochukulia au kufikiria jambo; mawazo ya mtu juu ya jambo fulani.

    falsafa

Matamshi

mtazamo

/mtazamÉ”/