Ufafanuzi wa mtema katika Kiswahili

mtema

nominoPlural watema

  • 1

    mtu akataye shauri au atoaye hukumu.

  • 2

    mkataji, mpasuaji.

Matamshi

mtema

/mtɛma/