Ufafanuzi wa mterehemeshi katika Kiswahili

mterehemeshi

nominoPlural waterehemeshi

  • 1

    mfurahishaji wenzake.

    mteremezi, mchangamfu, mfurufu

Matamshi

mterehemeshi

/mtɛrɛhɛmɛ∫i/