Ufafanuzi wa mteremko katika Kiswahili

mteremko

nominoPlural miteremko

  • 1

    mahali palipoinama k.v. kilima kutoka juu kwenda chini.

    mwinamo, mharara, mporomoko, shuko

Matamshi

mteremko

/mtɛrɛmkɔ/