Ufafanuzi wa mteule katika Kiswahili

mteule

nomino

  • 1

    mtu aliyechaguliwa kuendesha kazi fulani lakini bado hajaishika kutokana na kutomalizika kwa muda wa huyo mwingine anayeshika kazi hiyo.

Matamshi

mteule

/mtɛwulɛ/