Ufafanuzi msingi wa mti katika Kiswahili

: mti1mti2

mti1

nominoPlural mti, Plural miti

 • 1

  mmea wenye shina gumu.

  methali ‘Mti hauendi ila kwa nyenzo’
  methali ‘Kwenye miti hakuna wajenzi’
  methali ‘Mti mkuu ukianguka, ndege wa mashakani’

Ufafanuzi msingi wa mti katika Kiswahili

: mti1mti2

mti2

nominoPlural mti, Plural miti

 • 1

  maradhi ya kuvimba na kupasuka katika viungo vya mwili k.v. pua, masikio au vipingiti vya mkono.

Matamshi

mti

/mti/