Ufafanuzi wa mtikiso katika Kiswahili

mtikiso

nominoPlural mitikiso

  • 1

    tendo au hali ya kusukuma huku na huko.

Matamshi

mtikiso

/mtikisɔ/