Ufafanuzi msingi wa mtindi katika Kiswahili

: mtindi1mtindi2

mtindi1

nominoPlural mitindi

 • 1

  mti mwepesi kama mpapai unaotoa mbao zinazotumika kutengenezea vitu k.v. marimba.

Matamshi

mtindi

/mtindi/

Ufafanuzi msingi wa mtindi katika Kiswahili

: mtindi1mtindi2

mtindi2

nominoPlural mitindi

 • 1

  maziwa yaliyoganda.

  gururu

 • 2

  maziwa yaliyobaki baada ya kutolewa siagi.

 • 3

  pombe

Matamshi

mtindi

/mtindi/