Ufafanuzi wa mtiriri katika Kiswahili

mtiriri

nomino

  • 1

    mwanamke au mwanamume mwenye ashiki nyingi.

    mkware, mshongo

  • 2

    mtoto mtukutu.

Matamshi

mtiriri

/mtiriri/