Ufafanuzi wa mtomoko katika Kiswahili

mtomoko

nominoPlural mitomoko

  • 1

    mti mdogo wenye matawi yaliyoinama chini, majani membamba ya duara yaliyochongoka mwishoni na kupangika mojamoja katika kitawi, huzaa matomoko.

Matamshi

mtomoko

/mtɔmɔkɔ/