Ufafanuzi wa mtopetope katika Kiswahili

mtopetope

nominoPlural mitopetope

  • 1

    mti kama mtomoko uzaao matopetope.

    mbokwe, mtokwe

Matamshi

mtopetope

/mtɔpɛtɔpɛ/