Ufafanuzi wa mtori katika Kiswahili

mtori

nominoPlural mtori

  • 1

    chakula cha ndizi na nyama zilizopikwa na kupondwa mithili ya supu nzito.

Matamshi

mtori

/mtɔri/