Ufafanuzi wa Mtu mchafu katika Kiswahili

Mtu mchafu

  • 1

    mwenye taka mwilini.

Ufafanuzi wa Mtu mchafu katika Kiswahili

Mtu mchafu

  • 1

    mwenye kutenda matendo maovu.

  • 2

    mwenye matusi mengi.