Ufafanuzi wa mtumba katika Kiswahili

mtumba

nominoPlural mitumba

 • 1

  furushi la vitu vilivyofungwa pamoja, agh. nguo.

  ‘Mtumba wa nguo’
  dundu

 • 2

  kitu kilichokwisha kutumika k.v. gari, nguo, n.k..

  vulio

Matamshi

mtumba

/mtumba/