Ufafanuzi wa mtungaji katika Kiswahili

mtungaji

nominoPlural watungaji

  • 1

    mtu mwenye kipaji na anayetunga vitu k.v. nyimbo, mashairi, n.k..

  • 2

    mwandishi wa vitabu.

Matamshi

mtungaji

/mtungaʄi/