Ufafanuzi wa mtungi katika Kiswahili

mtungi

nomino

  • 1

    chombo kilichotengenezwa kwa udongo wa mfinyanzi, chenye mdomo mdogo na tumbo kubwa, hutumika kwa kubebea au kuhifadhia maji.

    nzio

Matamshi

mtungi

/mtungi/