Ufafanuzi wa mtweto katika Kiswahili

mtweto

nominoPlural mitweto

  • 1

    tendo la kuvuta pumzi kwa nguvu baada ya kupata au kufanya jambo la dharuba.

Matamshi

mtweto

/mtwɛtɔ/