Ufafanuzi wa mumbi katika Kiswahili

mumbi

nomino

  • 1

    ndege jamii ya hondohondo lakini mkubwa zaidi mwenye rangi nyeusi na nyama nyekundu inayoning’inia chini ya shingo ambaye hupendelea kutembea chini na kula wadudu na wanyama wadogo hasa nyoka na hulia kwa sauti kubwa usiku.

Matamshi

mumbi

/mumbi/