Ufafanuzi wa mume katika Kiswahili

mume

nomino

  • 1

    mwanamume aliyemwoa mwanamke fulani.

    bwana

Matamshi

mume

/mumÉ›/