Ufafanuzi wa muuguzi katika Kiswahili

muuguzi

nominoPlural wauuguzi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kuhudumia wagonjwa.

    mualisaji, nesi

Matamshi

muuguzi

/mu:guzi/