Ufafanuzi wa muunda katika Kiswahili

muunda

nominoPlural miuunda

  • 1

    mti uegemezwao kwenye kiambaza au kwenye kitu ili kukizuia kisianguke.

Matamshi

muunda

/mu:nda/