Ufafanuzi wa mvao katika Kiswahili

mvao

nominoPlural mivao

  • 1

    mtindo au aina ya kuvaa nguo.

  • 2

    idadi ya mara ya kuvaa nguo.

    ‘Shati hili nimelivaa mvao mmoja tu’

Matamshi

mvao

/mvaɔ/