Ufafanuzi wa mvuke katika Kiswahili

mvuke

nominoPlural mivuke

  • 1

    moshi mweupe unaotoka katika maji au vitu vingine vya majimaji vinapopata joto.

    muye

Matamshi

mvuke

/mvukɛ/