Ufafanuzi wa mvuko katika Kiswahili

mvuko

nominoPlural mivuko

  • 1

    tendo la kuvuka.

  • 2

    namna ya kuvuka.

Matamshi

mvuko

/mvukɔ/