Ufafanuzi msingi wa mwafaka katika Kiswahili

: mwafaka1mwafaka2

mwafaka1

nominoPlural myafaka

  • 1

    mapatano au maafikiano baina ya watu.

    maafikiano, muahada

Matamshi

mwafaka

/mwafaka/

Ufafanuzi msingi wa mwafaka katika Kiswahili

: mwafaka1mwafaka2

mwafaka2

kivumishi

  • 1

    -enye kukubalika; -a kufaa.

    ‘Amesema maneno mwafaka’

Asili

Kar

Matamshi

mwafaka

/mwafaka/