Ufafanuzi msingi wa mwako katika Kiswahili

: mwako1mwako2

mwako1

nomino

 • 1

  joto la mwili.

  hari, joto, fukuto

 • 2

  tendo la kitu k.v. moto au taa kuwaka.

Matamshi

mwako

/mwakɔ/

Ufafanuzi msingi wa mwako katika Kiswahili

: mwako1mwako2

mwako2

nomino

 • 1

  hali au namna ya upigaji lipu au chokaa.

Matamshi

mwako

/mwakɔ/