Ufafanuzi wa mwalishi katika Kiswahili

mwalishi

nominoPlural walishi

  • 1

    mtu anayetoa habari za kualika watu kufika katika shughuli fulani.

    mpambe, mlisha

Asili

Kar

Matamshi

mwalishi

/mwali∫i/