Ufafanuzi wa mwanachuo katika Kiswahili

mwanachuo

nominoPlural wanachuo

  • 1

    mwanafunzi anayesoma katika chuo k.v. chuo cha ualimu, chuo cha uganga au chuo kikuu.

Matamshi

mwanachuo

/mwanatʃuwɔ/