Ufafanuzi wa mwanadiplomasia katika Kiswahili

mwanadiplomasia

nominoPlural wanadiplomasia

  • 1

    mtu aliyesomea diplomasia.

  • 2

    mtu anayefanya kazi k.v. katika ubalozi.

Asili

Kng

Matamshi

mwanadiplomasia

/mwanadiplɔmasija/