Ufafanuzi wa mwanamapokeo katika Kiswahili

mwanamapokeo

nominoPlural wanamapokeo

  • 1

    mtu aliye nyuma ya wakati kwa kuendeleza kaida na desturi na mila zilizopitwa na wakati.

Matamshi

mwanamapokeo

/mwanamapɔkɛɔ/