Ufafanuzi wa mwanamke katika Kiswahili

mwanamke

nomino

  • 1

    mtu wa jinsia ya kike.

    harimu, koo

Matamshi

mwanamke

/mwanamkÉ›/