Ufafanuzi wa mwanamume katika Kiswahili

mwanamume

nominoPlural wanamume

  • 1

    mtu wa jinsia ya kiume.

Matamshi

mwanamume

/mwanamumɛ/