Ufafanuzi msingi wa mwandamizi katika Kiswahili

: mwandamizi1mwandamizi2

mwandamizi1

nomino

  • 1

    mtu anayemwandama aliyemtangulia k.v. kwa cheo.

  • 2

    ofisa wa cheo cha juu katika ngazi fulani.

Matamshi

mwandamizi

/mwandamizi/

Ufafanuzi msingi wa mwandamizi katika Kiswahili

: mwandamizi1mwandamizi2

mwandamizi2

nomino

Fasihi
  • 1

    kipande au mgao wa tatu katika mshororo wa shairi la arudhi ambalo mishororo yake imegawanywa katika vipande vitatu.

Matamshi

mwandamizi

/mwandamizi/