Ufafanuzi wa mwandani katika Kiswahili

mwandani

nominoPlural wandani

  • 1

    rafiki wa kweli na wa kutegemewa.

    msiri

  • 2

    sahibu, mpenzi, mwenzi, azizi, bui, rafiki

Matamshi

mwandani

/mwandani/