Ufafanuzi wa mwanguo katika Kiswahili

mwanguo

nominoPlural wanguo

  • 1

    ndege mwenye sauti mbalimbali na husadikiwa kuwa akilia karibu na nyumba patakuwa na msiba.

    aninia, tiva, kipwe

Matamshi

mwanguo

/mwanguwɔ/