Ufafanuzi wa mwaranda katika Kiswahili

mwaranda

nominoPlural myaranda

  • 1

    sehemu ya tundu la mkundu inayozuiliwa na mshono wa kati.

  • 2

    tundu la kutolea mavi.

    mkundu

Matamshi

mwaranda

/mwaranda/