Ufafanuzi wa mwarubaini katika Kiswahili

mwarubaini, muarubaini

nominoPlural myarubaini

  • 1

    mti mkubwa wenye matawi yaliyojitandaza, maua na majani madogo, unaofaa kwa kivuli na hutumika kuwa ni dawa ya maradhi mbalimbali.

Matamshi

mwarubaini

/mwarubaIni/