Ufafanuzi wa mwasi katika Kiswahili

mwasi

nominoPlural wasi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuvunja sheria au kutotaka kufuata amri.

    haini, mkaidi, msaliti

Asili

Kar

Matamshi

mwasi

/mwasi/