Ufafanuzi wa mwavuli katika Kiswahili

mwavuli

nominoPlural myavuli

  • 1

    fimbo yenye kitambaa chenye umbo la duara kilichoshikiliwa na njiti za chuma, agh. zinazoweza kukunjwa na kukunjuliwa na hutumika kujikinga dhidi ya jua au mvua.

Matamshi

mwavuli

/mwavuli/