Ufafanuzi wa mwenendo katika Kiswahili

mwenendo

nominoPlural myenendo

  • 1

    matendo ya mtu yanayojirudiarudia.

    ‘Ametuhumiwa kwa mwenendo mbaya’
    tabia, nyayo, jinsi

Matamshi

mwenendo

/mwɛnɛndɔ/