Ufafanuzi msingi wa mwewe katika Kiswahili

: mwewe1mwewe2

mwewe1

nomino

  • 1

    ndege mkubwa anayefanana na tai ambaye hukamata vifaranga wa kuku.

Matamshi

mwewe

/mwɛwɛ/

Ufafanuzi msingi wa mwewe katika Kiswahili

: mwewe1mwewe2

mwewe2

nomino

  • 1

    samaki mpana wa rangi nyeusi na mistari ya kahawia.

Matamshi

mwewe

/mwɛwɛ/